FootballStream
Simba SC 1-1 AL Hilal | Highlights | Mechi ya Kirafiki 31/08/2024 Thumbnail

Upcoming Matches

Aug 21, 2025 (UTC)

Description

Lionel Ateba amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza ndani ya Simba, lakini likachomolewa kipindi cha pili na Serge Pokou dakika ya 76, na matokeo yakawa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba vs Al Hilal. Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam